Kundi rasmi la Telegram la BongoBongo Tanzania

BongoBongo Telegram: Jamii Bora Zaidi Tanzania Inakungoja!

Usikose furaha ya mchezo! Jiunge na kundi letu rasmi la Telegram ili upate habari za kipekee, promosheni, na tips kibao ambazo hutapati sehemu nyingine. Shiriki betslips zako za ushindi na tusherehekee pamoja - hapa ndipo jamii inapoishi kweli!

Jiunge na group la Telegram!

Bure kujiunga, burudani imeboreshwa!

Kwa nini Ujiunge na Group?

Ukijiunga na Group unapata taarifa moja kwa moja:

  • Promosheni za Kila Siku & Beti za Bure: Kuwa wa kwanza kuingia kwenye mashindano ya ndani.
  • "Jinsi ya kufanya" videos: Maelezo kamili na mwongozo.
  • Msaada wa Ndani: Pata msaada moja kwa moja kutoka kwa timu yetu.
  • Dondoo za Ubashiri: Pata maarifa ya kitaalamu na taarifa moja kwa moja kutoka kwa timu ya Bongobongo.
  • Shiriki Ubashiri Wako: Chambua mechi na shiriki maoni yako na timu na wachezaji wengine.

Fuata Channel Yetu Rasmi ya Telegram

Unataka habari bila kelele? Fuata channel yetu rasmi ya Telegram ambapo tunatangaza washindi wapya, spins za bure, promosheni, na matangazo makubwa moja kwa moja kwenye simu yako. Jiunge na group kupiga gumzo na jamii - fuata channel ili usikose taarifa yoyote!

Fuata channel

Jamii inayoheshimika & Salama

Tunatekeleza kwa ukali sheria dhidi ya link za nje za matangazo, kuhakikisha kila ujumbe unaopokea ni muhimu na una thamani. Pia tunapiga marufuku lugha ya matusi na matangazo yasiyo ya mada, ili mazingira yaendelee kuwa 100% kuhusu mchezo na furaha.

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

Ni bure kujiunga Group la Telegram Bongobongo?

Bila shaka! Kujiunga na jamii yetu ni bure kabisa. Kamwe hatutakuuliza ada yoyote ya usajili ili kupata ufikiaji wa Telegram yetu.

Namba yangu ni private nikijiunga?

Ndiyo! Telegram inahifadhi namba yako ya simu ili isionekane na wengine.

Sina app ya Telegram, najiungaje?

  1. Fungua Google Play Store au Apple Store kwenye simu yako na pakua Telegram.
  2. Tengeneza akaunti yako (inachukua dakika 1).
  3. Rudi kwenye page yetu na bonyeza "Jiunge na group la Telegram!".

Je, nitapokea jumbe nyingi zisizohitajika?

Hapana. Tunatuma tu habari muhimu zaidi. Ikiwa kunakuwa na kelele nyingi, unaweza kurekebisha taarifa (mute notifications) na kuangalia group wakati wowote unapohitaji.

BongoBongo ina kurasa nyingine za kijamii?

Ndiyo! Tufuate kwenye Instagram, Facebook, Telegram, na X.