
Kuhusu BongoBongo Tanzania - Kwa nini Uichague BongoBongo Tanzania?
Kwa nini Uichague BongoBongo Tanzania?
Kwa nini Uichague BongoBongo Tanzania?
BongoBongo ni jukwaa lenye leseni kamili lililoundwa maalum kwa ajili ya wacheza kamari Tanzania, linalokuletea zawadi za mara kwa mara sambamba na kuhakikisha kwamba uchezaji unakuwa wa haki, salama, na wa kuwajibika.
Ina Leseni na Inaaminika
Ina leseni kamili kutoka mamlaka za ndani. Solner Limited ina leseni na inasimamiwa na Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, chini ya leseni Na. OCL000000022 na SB1000000053. Pia, imeundwa kwa kuzingatia usalama. Jukwaa letu linatumia itifaki kali za Mfahamu Mteja Wako (KYC) na Kupambana na Utakatishaji Fedha (AML) ili kulinda akaunti yako na fedha zako.
Malipo ya Haraka na Salama
Airtel Money, Yas, na Vodacom M-Pesa. Weka fedha papo hapo na utoe moja kwa moja kwenda kwenye pochi yako ya simu.
Hakuna ada zilizofichwa kwenye amana. Kiasi unachotuma ndicho kinachoingia kikamilifu kwenye akaunti yako ya BongoBongo.
Utoaji wa fedha wa haraka. Fedha hutumwa moja kwa moja kwenye namba yako ya simu iliyosajiliwa, ambayo imeunganishwa na akaunti yako iliyothibitishwa ili kukuhakikishia usalama.
Zawadi Zinazoendelea Kukunufaisha
Mbali na michezo ya kubashiri pamoja na michezo ya kasino, pia tunawazawadia wachezaji wetu kwa ofa zinazoendelea mwezi mzima.
Casino Bonanza
Kuanzia tarehe 1 hadi 7 ya kila mwezi, Casino Bonanza hugeuza uchezaji wa kasino kuwa mchuano, inayokuja na zawadi za kila siku zenye thamani ya hadi TZS 370,000 zinazogawanywa miongoni mwa wachezaji 10 bora kwenye ubao wa wanaoongoza.
African Royale
Kuanzia tarehe 20 hadi 27, African Royale inaongeza kasi ya kutoa zawadi kila siku kulingana na kizidisho cha juu zaidi, idadi kubwa zaidi ya dau zilizowekwa, na droo za bahati nasibu.
Ni droo ya ushindi! Droo ya zawadi huwapa wachezaji nafasi ya kushinda zawadi mbalimbali. Kadri unavyocheza zaidi, ndivyo unavyopata nafasi nyingi zaidi za kushiriki kwenye droo.
Drops & Wins
Kwa mashabiki wa sloti, Drops & Wins inakuletea mashindano ya kila siku na zawadi za papo hapo kila wiki kwenye michezo iliyochaguliwa, ikiwa na jumla ya zawadi inayoendeshwa kwa ushirikiano na Pragmatic Play. Na kwa mashabiki wetu wa Aviator, Aviator Rain humwaga dau za bure "kama mvua" kila siku kwenye sehemu ya mazungumzo (chat) ya mchezo, ambapo wachezaji watakaowahi kubofya "Chukua" hujinyakulia sehemu yao ya zawadi.