Kasino Bonanza

Kasino Bonanza

Kasino Bonanza

Jiandae kwa siku 7 mfululizo za burudani ya kasino na zawadi kubwa hapa Tanzania! Kuanzia tarehe 1 hadi 7 ya kila mwezi, unaweza kushinda hadi TZS 85,000 kila na wachezaji 10 bora wanazawadiwa kila siku, hivyo kila mtu ana nafasi ya kushinda!

Jinsi ya Kushiriki

  1. Ingia au fungua akaunti kwenye BongoBongo Tanzania

  2. Weka pesa na ucheze dau la TZS 100 kwenye michezo husika

  3. Pata Zawadi: Panda kwenye ubao wa ushindani, tafuta multipliers kubwa, spin hadi juu!

Zawadi za Kila Siku

Jumla ya zawadi kwa siku: TZS 370,000

1. TZS 85,000  

2. TZS 65,000  

3. TZS 55,000  

4. TZS 45,000  

5. TZS 40,000  

6. TZS 30,000  

7. TZS 20,000  

8. TZS 15,000  

9.TZS 10,000  

10. TZS 5,000

Ratiba ya Zawadi za Kila Siku

  • Siku ya 1 – Wachezaji 10 wenye Spins nyingi zaidi

  • Siku ya 2 – Wachezaji 10 waliofikia Multiplier kubwa zaidi (x100)

  • Siku ya 3 – Wachezaji 10 wenye Spins nyingi zaidi

  • Siku ya 4 – Wachezaji 10 waliofikia Multiplier kubwa zaidi (x100)

  • Siku ya 5 – Wachezaji 10 wenye Spins nyingi zaidi

  • Siku ya 6 – Wachezaji 10 waliofikia Multiplier kubwa zaidi (x100)

  • Siku ya 7 – Wachezaji 10 wenye Spins nyingi zaidi

Vigezo na Masharti
  • Promosheni hii inawahusu wachezaji wapya na waliopo.

  • Washiriki lazima wawe na umri wa miaka 18 au zaidi.

  • Promosheni hii hufanyika kuanzia tarehe 1 hadi 7 ya kila mwezi. Orodha za wachezaji hurekebishwa saa sita usiku kwa Muda wa Afrika Mashariki (EAT, UTC+3).

  • Promosheni hii ni kwa ushirikiano na Mtoa Huduma wa Kasino Pragmatic

  • Vigezo: Weka pesa na ucheze dau la chini la TZS 100 kwenye michezo husika.

  • Zawadi za kila siku hutolewa kulingana na uchaguzi wa nasibu, multiplier kubwa zaidi au spins nyingi zaidi kulingana na siku.

  • Zawadi za fedha zitawekwa kwenye akaunti ndani ya masaa 48 baada ya ushindi.

  • BongoBongo ina haki ya kubadilisha, kufuta, kurejesha au kukataa ofa yoyote ya promosheni muda wowote.