Drops & Wins

Drops & Wins

Drops & Wins

Mashindano yetu ya kila siku na droo ya gurudumu la kila wiki yamerudi rasmi! Sasa una nafasi ya kushinda hadi TZS 75,000,000,000. Watu 100,000 kugawana zawadi kila wiki!

Cheza sasa, panda kwenye leaderboard ongeza nafasi yako ya kuondoka na ushindi mkubwa!

Jinsi ya Kushinda?

  1. Ingia au Jiunge na BongoBongo.

  2. Weka dau kuanzia TZS 435 kwenye michezo iliyochaguliwa.

  3. Dai na upate mgao wako kati ya watu 100,000 zawadi za wiki kwa Pesa Taslim  na Spin za Bure

Kila Spin itakupa Ushindi!

Inavyofanya kazi

  • Mashindano ya kila siku na zawadi za papo hapo & kwa Wiki

  • Mashindano 7 Kila Siku na nafasi ya kushinda hadi TZS 9,000,000, panda kwenye leaderboard kwa nafasi ya ushindi zaidi

  • 1x kwenye Wheel Drop kwa wiki ainakuruhusu kupata vipande 3 kukamilisha mzunguko na upate zawadi hadi mara 100,000x dau lako

Usikose Promosheni yenye ushindi mkubwa! Anza kuspin leo!

Vigezo & Masharti
SHERIA ZA UJUMLA:
  1. Drops & Wins na Wheel Drops ya Wiki inapatikana kwa michezo shiriki iliyochaguliwa  kuanzia 4th Machi 2026 kuanzia saa 18:01 GMT+0 (19:01 CET) mpaka 3rd Machi 2027 at 17:59 GMT+0 (18:59 CET), kuanzia Jumatano mpaka Jumatano (vigezo vya ‘Promosheni”). Huu ni mchezo wa ujumla kwa wachezaji wanaocheza michezo ya Pragmatic Play. Kuna mgao wa zawadi zinagawanywa kwa washindi wote watakaoshiriki

  2. Michezo shiriki inapatikana hapa.

  3. Zawadi za pesa zinazopatikana kwenye hatua hii ni TZS 75,000,000,000 

  4. Dau la kuanzia TZS 435  kwenye michezo iliyochaguliwa

  5. BongoBongo inabaki na haki ya kubadilisha au kufuta promosheni wakati wowote.

  6. Washiriki lazima awe na umri wa miaka 18+.

ZAWADI ZA WIKI

  • Ili kushiriki kwenye Wheel Drop ya Wiki, unahitaji kujiunga au kucheza kila wiki kwenye michezo shiriki kupitia Meseji za Ukaribisho(maombi) ya Promosheni.

  • Ukichagua kujiondoa, hautahesabiwa kwenye Wheel Drop ya wikina utatakiwa kujiunga tena kuendelea na Wheel Drop ya Wiki

  • Kwa kujiunga kwenye Wheel Drops ya Wiki, Kwa kushiriki, unakubali kufuata Vigezo na Masharti kikamilifu.

ZAWADI ZA SIKU

  • Kila siku shindano linaanza 18:01 GMT+0 (19:01 CET) mpaka 17:59 GMT+0 (18:59 CET) siku inayofuata, na shindano limegawanywa kwa wiki kuanzia Jumatano mpaka Jumatano, ndani ya siku (7) Shindano la siku kila wiki.

  • Ili kushiriki, lazima ujiunge (opt-in) mara moja kwa wiki kwenye michezo shiriki kupitia kupitia Meseji za Ukaribisho(maombi) ya Promosheni.Baada ya kujiunga (opt-in), utashiriki moja kwa moja kwenye Mashindano yote ya Kila Siku kwa wiki hiyo.

  • Hakuna pointi za mashindano zinazotolewa kwa michezo uliyoicheza kabla ya kujiunga (opt-in), na pointi hizo hazitahesabiwa baadae

  • Ukichagua kujiondoa, hautahesabiwa kwenye zawadi ya siku ya wiki hiyo na utatakiwa kujiunga tena kuendelea.

  • Kwa Kujiunga na Mashindano ya Siku, unakubali kufuata Vigezo na Masharti kikamilifu.