
Zawadi – Ni Ushindi!
Ni Ushindi! Droo ya Zawadi
Cheza michezo ya kasino uipendayo na upate nafasi ya KUSHINDA S26 Ultra + HP Probook 4. Mshindi atatangazwa tarehe 26 Oktoba 2026.
Weka pesa na uweke dau la TZS 100 kwenye michezo ya BongoBongo iliyochaguliwa ili kuingia kwenye droo hii. Weka dau zaidi ili kupata nafasi nyingi zaidi na kujiongezea uwezekano wa kushinda!
Jinsi ya Kushiriki
Ingia au jisajili kwenye BongoBongo
Weka pesa na uweke dau la angalau TZS 100 kwenye michezo ya kasino iliyochaguliwa
Na hapo utakuwa umeingia moja kwa moja kwenye droo ya bahati nasibu! Weka dau zaidi ili kujiongezea nafasi ya kushinda.
Maelezo ya Ushiriki Kila TZS 100 unayoweka dau = Nafasi 1. Kwa mfano:
TZS 100 = Nafasi 1
TZS 500 = Nafasi 5
Washindi watatangazwa tarehe 26 Oktoba 2026 kwenye ukurasa wa BongoBongo wa Facebook.
Vigezo & Masharti
Ofa hii inapatikana kwa wateja wote wa BongoBongo, yaani wachezaji wapya na wa zamani.
Ni lazima uwe na umri wa miaka 18+.
Kigezo cha kushiriki: Weka pesa na uweke dau la angalau TZS 100
Mfumo wa nafasi - Kadri mchezaji anavyoweka dau kubwa zaidi, ndivyo anavyopata nafasi nyingi zaidi na kujiongezea uwezekano wa kushinda:
TZS 100 = Nafasi 1
TZS 500 = Nafasi 5
Ofa hii itaanza tarehe 28 Septemba 2026 saa 00:00 na kumalizika tarehe 25 Oktoba 2026 saa 23:59, kwa saa za eneo husika.
Ili kukidhi vigezo vya kushiriki kwenye droo hii ya kila mwezi, uwekaji wa pesa pamoja na dau zinazokidhi vigezo zote ni lazima ziwekwe kati ya tarehe 28 Septemba 2026 saa 00:00 na tarehe 25 Oktoba 2026 saa 23:59, kwa saa za eneo husika.
Dau zote zinazokidhi vigezo ni lazima ziwe zimeshapata matokeo (kushinda au kupoteza) ili zizingatiwe.
Mshindi atatangazwa tarehe 26 Oktoba 2026 kupitia matangazo ya moja kwa moja pamoja na chapisho kwenye ukurasa rasmi wa BongoBongo wa Facebook.
Zawadi itakuwa ni S26 Ultra + HP ProBook 4.
Washindi watatakiwa kuhudhuria hafla ya kukabidhi zawadi itakayofanyika Dar es Salaam, kwenye tarehe itakayotajwa na Muaandaji. Ikiwa mshindi hatakuwa na uwezo wa kuhudhuria, anaweza kumchagua mwakilishi wa kuhudhuria kwa niaba yake, kwa sharti la kupata kibali cha mapema kutoka kwa Muaandaji. Kushindwa kuhudhuria kwa mshindi au mwakilishi wake kunaweza kupelekea kupoteza ushindi huo, na Muaandaji anahifadhi haki ya kumchagua mshindi mwingine.
Washindi watatakiwa kuonyesha Kitambulisho cha Taifa (NIDA) au Leseni ya Udereva iliyo halali ambayo majina yake yanafanana na usajili wa namba ya simu iliyopo kwenye akaunti ya BongoBongo.
Zawadi haziwezi kuhamishwa kwa mtu mwingine wala kubadilishwa kuwa pesa taslimu, isipokuwa kama itaelezwa vinginevyo.
Aina yoyote ya udanganyifu, matumizi mabaya, au shughuli zisizo za kawaida za uwekaji dau zinaweza kupelekea kuondolewa.
BongoBongo inahifadhi haki ya kubadilisha, kurekebisha, kusitisha, au kufuta ofa hii pamoja na masharti yake wakati wowote.