
Rudi Ushinde Kila Wiki
Weekly Win back
Rudishiwa 5% kutoka kwenye uchezaji wako wa kasino kila wiki. Ndiyo, wala hujakosea kusoma!
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Cheza michezo uipendayo kuanzia Jumatatu hadi Jumapili.
Usiposhinda, hasara yako yote huhesabiwa kiotomatiki.
Rudishiwa 5% kila Jumatatu.
Hasara ndogo zinazokidhi vigezo → Spins za Bure
Hasara kubwa zinazokidhi vigezo → Cashback
Hakuna haja ya kujiandikisha!
Vigezo & Masharti
Washiriki lazima wawe na umri wa miaka 18+, kwa mujibu wa sheria za ndani zilizowekwa.
Ofa hii itaendeshwa hadi tarehe 31 Desemba 2026.
Wachezaji watarudishiwa 5% ya hasara zao halisi kutoka kwenye uchezaji unaokidhi vigezo ndani ya kipindi husika.
Aina za Zawadi
Spins za Bure: marejesho ya 5% ya hasara halisi kutoka kwenye michezo ya Sloti.
Cashback: 5% ya hasara halisi kutoka kwenye michezo ya Sloti na Crash (isipokuwa Aviator).
Kiasi cha Chini cha Hasara Inayokubalika
Spins za Bure
TZS 18,000
Cashback
TZS 300,000
Muda wa Malipo: Cashback hutolewa kila Jumatatu.
Kipindi Kinachokubalika:
Jumatatu hadi Jumapili – malipo ni Jumatatu.
Spins za Bure hutumika kwenye michezo ya Sloti iliyochaguliwa tu. Orodha ya michezo inayokidhi vigezo inapatikana hapa.
Spins za Bure na Cashback vimeunganishwa na namba ya simu ya msingi iliyosajiliwa ya mchezaji.
Spins za Bure lazima zitumike ndani ya siku 3 kuanzia zilipotolewa. Spins za Bure zote ambazo hazitatumika zitaisha muda wake kiotomatiki.
Kiwango cha juu cha zawadi ya Spins za Bure kwa kila kipindi kinachokubalika ni:
TZS 30,000
Zawadi ya Cashback kwa kila kipindi kinachokubalika haina kikomo.
Ushindi wowote utakaopatikana kupitia Spins za Bure utawekwa moja kwa moja kwenye Akaunti ya Pesa Taslimu (Cash Wallet) ya mchezaji mara tu raundi zote za Spins hizo zitakapokamilika.
Zawadi huhesabiwa kwa kutumia hasara yote katika kipindi husika kinachokubalika.
BongoBongo inahifadhi haki ya kubadilisha, kusitisha, kurejesha au kukataa ofa yoyote ya promosheni kulingana na itakavyoona inafaa.